Kikinabalian ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wakinabalian kwenye kisiwa cha Leyte. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikinabalian imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikinabalian iko katika kundi la Kifilipino.